Dar es Salaam. Aliyekuwa mbunge Kinondoni, Idd Azzan ametoka mahabusu baada ya
kukaa siku tatu akihojiwa kwa tuhuma za dawa za kulevya.
Azzan alitoka katika Kituo Kikuu cha
Polisi Dar es Salaam saa10:30 jioni kwa kupitia mlango wa pili upande wa
baharini huku askari polisi wakimzunguka na kumtoa kupitia geti la nyuma.
Mbunge huyo wakati amemaliza ngazi
hizo aligeuza mgongo kwa lengo la kuwakwepa waandishi wasimpige kumpiga hadi
kwenye gari aina ya RAV4 ambayo ilielekea Water Front.
0 comments:
Post a Comment