Dar es
Salaam. Siku moja baada ya kuhamia Chadema, msanii maarufu nchini wa fani ya
uigizaji wa filamu, Wema Sepetu (28) amefunguka na kusema amefanya maamuzi ya
kibinadamu wala hajasukumwa na hasira.
Akikabidhiwa
kadi ya Chadema leo (Ijumaa), nyumbani kwa mama yake, Sinza jijini hapa, Wema
amesema sasa ameingia kwenye mapambano.
“Kswa yaliyonikuta
nilijiuliza wapi nilikosea, nilijitoa kuitumikia CCM kwa utu wangu wote, uamuzi
wangu sijauchukua kwa hasira bali natafuta demokrasia,”amesema Wema.
0 comments:
Post a Comment