Dar es Salaam. Waziri wa
Ardhi, William Lukuvi amesema atamchukulia hatua mfanyabiashara
aliyemkabidhi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda eneo kwa ajili ya
viwanda kwa sababu eneo hilo si lake ni mali ya Serikali.
“Sitaki ardhi
itumike kama sehemu ya wafanyabiashara kutakatishia fedha zao chafu,”amesema
Lukuvi leo (Jumatatu) katika mkutano na waandishi wa habari.








0 comments:
Post a Comment