Social

Friday, February 10, 2017

Wahudumu wa afya marufuku kutumia simu kazini Rwanda



Wahudumu wa afya nchini Rwanda wameonywa kutokuingia tena kazini na simu za mkononi kuanzia tarehe mosi mwezi Machi.
Waziri wa Afya Dkt Diane Gashumba amesema kuwa hatua hiyo inalenga kuinua huduma kwa wagonjwa kutokana na utafiti kuonesha kuweko kwa huduma duni kunakosababishwa na matumizi ya simu binafsi kazini.
Zaidi na John Gakuba.

0 comments:

Post a Comment