Baada awamu ya pili ya majina 65 yaliyotajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kwenye sakata la dawa za kulevya leo February 10 2017 mmiliki wa Sea Clif Casino ni miongoni mwa waliofika kituo cha polisi kati kwa ajili ya mahojiano. Habari zaidi utazipata kadri muda unavyoendelea
0 comments:
Post a Comment