Social

Friday, February 10, 2017

Rais Magufuli awasikia akina Ester Bulaya ateua Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya




Katika kikao cha mapema wiki hii bungeni wabunge walipiga kelele sana wakimkosoa Mh Makonda kwa kuwaweka ndani watumiaji badala ya kuwapeleka hospitali. Katika wabunge walioongea sana ni mh Ester Bulaya mbunge wa Bunda alimpongeza sana Waziri Jenister kwa kusikiliza ushauri wake wa kupendekeza Kamishna anayehusika na Tume hiyo. Leo hii neema imeonekana Rais amejibu maombi na kamishna kapatikana. Bwana

0 comments:

Post a Comment