Akizungumza wakati wa utambulisho wa Filamu mpya ya 'Kiumeni' inayotarajiwa kuzinduliwa kesho, katika ukumbi wa sinema wa Century Cinemax Mlimani City, mtayarishaji wa filamu hiyo Ernest Napoleon amesema waigizaji na watayarishaji wanaotengeneza filamu za kiswahili wanapaswa kuwa makini.
Filamu ya Kiumeni imewashirikisha mastaa mbalimbali wa filamu nchini akiwemo Irene Paul, Idris Sultan, Antu Mandoza, Mama Abdul na Mhogo Mchungu.
0 comments:
Post a Comment