Social

Monday, March 27, 2017

Repoa yaasa kuhusu Tanzania ya viwanda


Dar es Salaam. Taasisi ya Repoa imesema ili ndoto ya Tanzania ya viwanda   ifanikiwe ni lazima kuwe na Mpango wa miaka mitano.
Mkurugenzi wa Mipango na Utafiti kutoka Taasisi hiyo, Dk Abel Kinyondo alisema kingine kinachohitajika ni kuwa na taasisi zenye nguvu  ya kusimamia ndoto hiyo badala ya kutegemea mawazo ya kiongozi.
Ajkizungumza leo wakati wa maandalizi ya warsha  itakayoanza kesho jijini hapa, Kinyondo alisema taasisi hizo zinatakiwa kufanya juhudi za kubadili fikra za watanzania juu ya matumizi ya bidhaa zinazozalishwa ndani.

0 comments:

Post a Comment