Social

Thursday, March 30, 2017

Mahakama yamuachia huru Lijualikali


Dar es Salaam. Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam, imemuachia huru mbunge wa Kilombero(Chadema) Peter Lijualikali.
Lijualikali amekutwa hana hatia katika kesi hiyo ambayo alihukumiwa kifungo cha miezi sita kwa kosa la kufanya vurugu wakati wa uchaguzi wa mwaka 2015.
 Hata hivyo mawakili wake walikata rufaa na leo mahakama imemuona hana hatia katika madai hayo.

0 comments:

Post a Comment