Social

Friday, March 31, 2017

Ney leo uso kwa uso na Mwakyembe


Dodoma. Emanuel Elbariki maarufu kama Ney wa Mitego leo jioni atakutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe mjini Dodoma.
Ney wa mitego ambaye amejipatia umaarufu kupitia wimbo wake wa Wapo, amekuja mjini hapa kwa mwaliko wa Dk Mwakyembe.

0 comments:

Post a Comment