Makabidhiano hayo yalifanyika katika Ofisi za Wizara Mjini Dodoma na kushuhudiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel.
Wengine walioshuhudia makabidhiano hayo ni Naibu Waziri Anastazia Wambura , Naibu Katibu Mkuu Nuru Millao na watendaji wa Wizara.
Tuesday, March 28, 2017
Nape amkabidhi Mwakyembe ofisi
12:16 PM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment