Real Madrid yatinga robo fainali Katika mchezo mwingine wa ngazi ya timu 16, Sergio Ramos alipachika mabao mawili na kuipatia ushindi Real Madrid wa mabao 3-1 waliokuwa wakicheza ugenini dhidi ya Napoli.
Sergio Ramos alitikisa nyavu mara mbili Vijana hao wa Zinedine Zidane walishinda kwa jumla ya mabao 6-2 na kujihakikishia nafasi ya kucheza robo fainali. Alvaro Morata alifunga bao la tatu la Real Madrid.
0 comments:
Post a Comment