Social

Sunday, March 5, 2017

Niyonzima nje tena, Martin na Busungu waanzishwa


Kwa mara nyingine kiungo  Haruna Niyonzima na beki Juma Abdul  hawamo kwenye kikosi cha Yanga ikiwa ni mechi ya pili mfululizo kukosa. Wakati Niyonzima akikosekana sambamba na Juma Abdul, beki Kelvin Yondani aliyekosa mechi dhidi ya Ruvu Shooting amerudi kwenye kikosi cha kwanza. Washambuliaji Emmanuel Martin na Malimi Busungu wamepewa kazi ya kusaka mabao pamoja […]

0 comments:

Post a Comment