Social

Sunday, March 26, 2017

Ndungai atembelea bandarini mchana huu


  1. Spika Job Ndugai akipokea maelezo kutoka kwa watendaji wa bandari kwenye kontena zilizozuiliwa
  2. Baadaye, Spika Job Ndugai atatoa msimamo wa Bunge kuhusu suala hilo
  3. Spika Ndugai anapokea maelezo kutoka uongozi wa bandari kuhusu kontena zilizozuiliwa na sasa anatembelea kontena hizo .

0 comments:

Post a Comment