Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewasili kwenye uzinduszi wa ujenzi wa barabara za juu, Ubungo,(Ubungo interchange).
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo ni Rais John Magufuli ambaye anatarajiwa kuwasili wakati wowote kuanzia sasa.
Habari za Ulimwengu kwa Kiswahili


0 comments:
Post a Comment