Social

Thursday, May 4, 2017

Kenya: Kenya kususia uchaguzi mkuu?



Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya NASA umetishia kususia uchaguzi mkuu iwapo maafisa wake hawataruhusiwa kutangaza matokeo ya urais katika vituo vya uchaguzi kwenye vituo vya kupigia kura

0 comments:

Post a Comment