London, England. Klabu ya Manchester United imeanza kujipanga ili kuizua Real Madrid isimsajili kipa wake, David de Gea msimu huu.
De Gea mwenye miaka 26, alikosekana kwenye kikosi cha kwanza kilichochea fainali ya Europa, huku Sergio Romeo akipata nafasi ya kuanza.
Mchezaji huyo ambaye anatajwa kurudi kwenye klabu yake ya zamani kumekuwapo na hekaheka za kumrudisha Real Madrid, lakini Manchester United wanaangalia uwezekano wa kuvuruga mipango hiyo, kutokana na timu hiyo kutokutimiza matakwa ya kisheria ya mkataba wao
Wednesday, May 31, 2017
Man United kuizua Madrid usajili wa David de Gea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment