Social

Monday, April 10, 2017

Gwajima aibua tena watanzania waliojiunga na Freemason


Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima  anaendelea na mahubiri yake ya kila Jumapili huku leo akiibua mada ya watanzania waliojiunga na Freemason.
Katika mahubiri hayo, Gwajima alisema wapo watanzania ambao umaarufu wao unatokana na dini ya Freemason huku akihusisha Freemason na imani za kichawi.
"Nataka kabla hujamuimba mchungaji gwajima, urudie mara mbili, natetea wafungwa, askari, walioumizwa, walioachwa, matajiri na maskini," alisema

0 comments:

Post a Comment