Social

Friday, April 28, 2017

Kikosi kazi cha watu 15 kilifanya kazi ya uhakiki wa vyeti nchini


Dodoma. Waziri wa Elimu, Joyce Ndalichako amempongeza Rais John Magufuli kwa kuweka historia ya uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma, huku akieleza kuwa kikosi kazi cha watu 15 kilifanya kazi hiyo.
Ndalichako amesema ripoti ya watumishi wa vyeti feki ipo tayari na imekabidhiwa kwa waziri wa nchi ofisi ya Rais Utumishi, Angela Kairuki. 

0 comments:

Post a Comment