Social

Thursday, May 4, 2017

Tanzania: Profesa Mubofu ateuliwa Mkurugenzi TBS


Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemteua, Profesa Egid Mubofu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).
Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi, John Kijazi inaeleza kuwa  uteuzi wa Mubofu umeanza tangu Mei 2 mwaka huu.
Profesa Mubofu aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo amechukua nafasi ya Joseph Masikitiko ambaye uteuzi wake ulitenguliwa Julai mwaka jana.

0 comments:

Post a Comment