
Munich, Ujerumani. Mshambuliaji wa Bayern Munich, Thomas Muller amesema kiwango alichoonyesha Cristiano Ronald ni cha hali ya juu na anastahili kusifiwa.
Ronaldo alifunga hat trick wakati timu yake ya Real Mdrid ilipokutana na Atletico Madrid kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa juzi.
Mchezo huo ulioisha kwa Madrid kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 umeiwezesha timu hiyo kutinga fainali watakayokutana na Juventus ya Italia.
0 comments:
Post a Comment