Social

Thursday, April 13, 2017

TCRA yazipiga faini za mamilioni kampuni za simu


Dar es Salaam.Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) imezipiga faini ya Sh 695milioni kampuni saba za simu kwa kosa la kushindwa kutoa huduma bora.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA James Kilaba alisema walibaini hayo baada ya kufanya tathmini kwenye mikoa ya Dar Es Salaam,Mbeya na Iringa.
AMEsema wamebaini kwamba kampuni hizo zina udhaifu katika upatikanaji wa mitandao na ubora wa sauti.

0 comments:

Post a Comment