Msanii Roma Mkatoliki asema anahofia maisha yake siku moja tu baada ya kupatikana katika kituo cha polisi cha Oysterbay.
Roma: Walikuja watu na silaha za moto wakatufunga pingu na kitambaa usoni, wakatumbia tuiname chini Roma: Kuna mahojiano yaliambatana na vipigo hadi siku ya ijumaa usiku Roma: Tukatolewa tulimokuwepo siku ya ijumaa jioni tuliwa tumefungwa uso, na mikono na miguu. Tukapelekwa sehemu tukatupwa kwenye dimbwi la maji karibu na baharini Roma; mimi ndio niliwafungua wenzangu Roma: Tulitembea umbali mrefu, tukafika maeneo ya ununio
Tutakupasha zaidi.
Source BBC Swahili
0 comments:
Post a Comment