Social

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Thursday, June 29, 2017

Amir wa Dubai asaidia kuwanunulia kanisa wanakijiji

Kadinali ashtakiwa kwa kuwanyanyasa watoto kingono

Dawa mpya ya Ukimwi yaanza kutumika Kenya


Tanzania yapiga marufuku uuzaji wa mahindi nje

Ujenzi wa jiwe la amri 10 za Mungu wapingwa Marekani

Helikopta ya polisi yashambulia mahakama ya juu Venezuela

Marekani yaanza uchunguzi udukuzi wa mitandao duniani


Friday, June 23, 2017

Thursday, June 22, 2017

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 22.06.2017 na Salim Kikeke

Mahakama yaruhusu kura ya siri ya kutokuwa na imani na Zuma

Trafiki wawili wapigwa risasi Kibiti Tanzania


IS walipua msikiti wa kihistoria nchini Iraq

Marekani yaitaka China kuikanya Korea Kaskazini

Angola kuachana na DRC

DRCONGO-POLITICS-KABILA (Getty Images/AFP/J. D. Kannah)

Uchaguzi wa Rwanda wa Agosti una umuhimu gani kwa upinzani

Wednesday, June 21, 2017

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 21.06.2017 na Salim Kikeke

Robert Lewandowski
Mabingwa wa England Chelsea wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Poland na Bayern Munich Robert Lewandowski, 28 (Daily Mirror).
Tottenham wanataka pauni milioni 45 kumuuza beki Kyle Walker, 27, ambaye anasakwa na Manchester City (Daily Star).
Arsenal wamewaambia Barcelona kuwa beki wake Hector Bellerin, 22, hauzwi na wana uhakika mchezaji huyo wa kimataifa wa Spain atabakia Emirates (Independent).
Arsenal wanajiandaa kutoa euro milioni 30 kumsajili kiungo wa Barcelona Arda Turan (Marca).
  • Arsenal lazima wasubiri mpaka michuano ya Kombe la Shirikisho la Mabara la Fifa imalizike ili kufahamu msimamo wa Alexis Sanchez kuhusu mustakbali wake Emirates (Evening Standard).
Arsenal pia wameanza mazungumzo ya mkataba mpya na kiungo Aaron Ramsey, 26, ili kuondoa utata wowote kuhusu mustakbali wake (Daily Telegraph).
Real Madrid wanafikiria kumsajili Alexis Sanchez, ili kuziba nafasi ya Cristiano Ronaldo (Don Balon).
Alexis SanchezHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionAlexis Sanchez
Juventus nao wanamtazama beki wa Arsenal Hector Bellerin (Tuttosport).
Juventus pia wanamtaka beki wa Manchester United Matteo Darmian, 27, kuziba nafasi ya Dani Alves, ambaye anatazamiwa kuondoka Italy (Goal.com).
Dani Alves, 34, yuko tayari kusaini mkataba wa miaka miwili na Manchester City, mara atakapokamilisha mazungumzo yake na Juventus (Daily Mail).
Manchester United itakuwa kimbilio pekee kwa Cristiano Ronaldo iwapo ataondoka Real Madrid, kwa mujibu wa washauri wake (Daily Record).
Lakini rais wa Real Madrid Florentino Perez ameelezea sakata la mustakbali wa Ronaldo kama "la kushangaza" na kusema hakuna mipango ya kumuuza mchezaji huyo (TalkSport).
N'Golo KanteHaki miliki ya pichaAP
Real Madrid wanafikiria kumchukua N'Golo Kante kutoka Chelsea (Don Balon).
Manchester United hawajakata tamaa ya kumfuatilia mshambuliaji wa Everton Romelu Lukaku, lakini watalazimika kulipa hadi pauni milioni 90 (Mirror).
Manchester United hawatoongeza dau lao la pauni milioni 26.4 ili kumsajili kiungo Ivan Perisic wa Inter Milan, na wana uhakika wa kukamilisha mkataba huo (Calciomercato.com).
Liverpool huenda wakakamilisha usajili wa Mohamed Salah siku ya Jumatano - leo- (Sky Sports).
Usajili mpya wa Liverpool Mohamed Salah anataka kuvaa jezi namba tisa (Liverpool Echo).
Swansea watamsajili mshambuliaji wa Chelsea Tammy Abraham, 19, kwa mkopo wa mwaka mmoja (Daily Mirror).
Swansea pia wamemuulizia beki wa zamani wa Liverpool Martin Skirtel, 32, anayechezea Fernabahce (Daily Mail).
Wakala wa Zlatan Ibrahimovic Mino Raiola amesema mchezaji huyo ameitwa na timu nyingi kutoka Marekani na kwingineko (Gazzetta dello Sport).
West Ham wameanza mazungumzo ya mkataba mpya wa kiungo wao Pedro Obiang, 25, ili kuzuia Everton, Sevilla na AC Milan zinazomfuatilia (Daily Mirror).
Chelsea na Atletico Madrid wameanza mazungumzo kuhusu mkataba wa pauni milioni 50 wa usajili wa Diego Costa. Ingawa Atletico wamefungiwa, watamrejesha Costa kwa mkopo hadi Januari adhabu yao itakapomalizika (Mirror).
Chelsea wanamfuatilia winga wa Leicester City Riyad Mahrez, wakati Conte akitaka kuimarisha safu ya ushambuliaji (Evening Standard).
Chelsea wanapanga kumtoa kwa mkopo Kurt Zouma msimu unaokuja, wakati wakijiandaa kumsajili Leonardo Bonucci, 30 kutoka Juventus na Virgil van Dijk, 25, kutoka Southampton (Evening Standard).
Chelsea wamekubaliana mkataba wa mshahara wa pauni 150,000 kwa wiki kumrejesha Romelu Lukaku Darajani kutoka Everton (Daily Star).
Romelu LukakuHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMshambuliaji wa Everton Romelu Lukaku
Chelsea wanakaribia kumsajili winga wa Middlesbrough Adama Traore, 21 (Daily Star).
West Brom wanajiandaa kumpa mshahara wa pauni 100,000 beki wao Jonny Evans, 29, na kumfanya mchezaji anayelipwa zaidi katika historia ya klabu hiyo (Sun).
West Brom wametoa dau la pauni milioni 12 kumtaka mshambuliaji wa Southampton Jay Rodriguez, 27, ingawa Burnley na Newcastle pia zinamtaka (Daily Mail).
Beki wa Real Madrid, Pepe, 34, anasema hajaamua kuhusu mustakbali wake, licha ya kuhusishwa na kuhamia PSG (ESPN FC).
Inter Milan wamemuulizia kiungo wa Barcelona Andres Iniesta ambaye mkataba wake unamalizika mwakani (Gazzetta).
Beki wa Manchester City, Eliaquim Mangala, 26, yupo kwenye mazungumzo ya kuhamia Lyon (Daily Mail).
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema mshambuliaji Olivier Giroud, 30, bado ni mchezaji muhimu katika kikosi chake (Evening Standard).
Winga wa Watford Nordin Amrabat, 30, amehusishwa na kuhamia Deportivio la Coruna (Watford Observer).
Habari zilizothibitishwa tutakujuza mara zitakapothibitishwa. Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa.

Mji wa Luanda nchini Angola ndio ghali zaidi duniani

Mji wa Luanda nchini Angola ndio ghali zaidi duniani

Walimu wapewa bunduki Colorado, Marekani

A man shoots at a target at a shooting range during a class to qualify for a concealed carry permit, 14 February 2014

Marekani yaendeleza ubabe Syria, yaitungua ndege nyingine


Sherehe ya Kula Nyama ya Mbwa Yafanyika China


Wapinzani Wampeleka Spika Ndugai Mahakamani Tanzania

Wabunge  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliosimamishwa kuhudhuria Bunge kwa mwaka mmoja, Ester Bulaya wa Bunda na Halima Mdee wa Kawe, wamemfikisha mahakamani Spika wa Bunge, Job Ndugai, wakipinga kusimamishwa kwao.

Mwingine ambaye wamemfikisha mahakamani ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge, George Mkuchika, ambaye ni Mbunge wa Newala Mjini (CCM).

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tayari wabunge hao wamewasilisha shauri lao kwenye Mahakama Kuu, Kanda ya Dodoma.

John Mnyika ambaye alisimamishwa kuhudhuria vikao vya siku saba, adhabu ambayo ilishaisha, naye ameungana na wabunge hao kwenye kesi hiyo.

"Leo hii (jana) katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Mahakama Kuu Dodoma waheshimiwa Ester Bulaya, Halima Mdee na John Mnyika wa Kibamba, wamefungua maombi kuomba ruhusa ya mahakama wafungue mashtaka dhidi ya Spika wa Bunge Job Ndugai, George Mkuchika na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju,"alisema Lissu.

Lissu alisema waombaji wanaiomba mahakama kuu itoe amri ya kufuta uamuzi wa Spika na wa Bunge kuwasimamisha John Mnyika kwa vikao saba na vile vile ifute kabisa uamuzi wa Bunge wa kuwasimamisha kuhudhuria vikao vilivyobaki na vikao vyote vya Mkutano wa nane na vikao vyote vya Bunge la Tisa, Ester Bulaya na Halima Mdee.

Lissu alisema adhabu zote hizo zinakwenda kinyume na sheria na zilitolewa na Bunge hilo kama kuwakomoa wabunge hao watatu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.

Hivi karibuni, Spika Ndugai, aliwaonya wabunge hao kuwa wanaweza kukabiliwa na adhabu kali zaidi ya ile waliyopewa endapo hawatachunga midomo yao.
Wabunge hao walisimamishwa Juni 5, mwaka huu, baada ya kutuhumiwa kudharau kiti cha Spika.

Mdee na Bulaya wamefungiwa kuhudhuria vikao vyote vilivyobaki vya Bunge hili na watakuwa nje mpaka Aprili mwakani.

Bulaya na Mdee walisimamishwa baada ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge inayoongozwa na Mbunge wa Newala (CCM), George Mkuchika kutoa taarifa ya makosa yao bungeni.

Azimio hilo la Bunge lilifikiwa baada ya Mbunge wa Viti Maalum, Juliana Shonza (CCM) kutoa hoja ya kubadilisha azimio lililotolewa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge.

Urusi na Ureno vitani leo kombe la mabara

Ndege ya kijeshi ya Urusi yaitishia ile ya Marekani Baltic

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Uber ajiuzulu

Utafiti: Watoto wanaozalishwa na wanaume wazee huwa werevu

Mfalme wa Saudia amfuta kazi mrithi wake

Majina yaongezwa katika jukwaa la BET 2017

Tuesday, June 20, 2017