Dar es Salaam.Raia wa Kenya walioko Tanzania wamekuwa wakijitokeza kwa mafungu katika ofisi za ubalozi wao kwa ajili ya kupiga kura huku baadhi wakisifu mpangilio mzuri uliowekwa.
Ingawa kituo cha upigaji kura kilifunguliwa tangu saa moja asubuhi, lakini wengi wao walianza kumiminika kuanzia saa mbili asubuhi. Hii ni mara ya pili kwa raia wa Kenya walioko nje ya nchi kupiga kura.
Kabla ya kuingia kwenye eneo la upigaji kura,raia hao hukagua majina yao na kisha kuelekea kwenye mstari.
Kumekuwa na hali ya utulivu huku askari polisi wakipita huku na kule kuimarisha ulinzi.
Wynn casino in Michigan now open with $200M
ReplyDeleteWynn Resorts 김포 출장안마 has been open since it opened its 광주광역 출장샵 doors two months 청주 출장안마 ago and 안양 출장샵 now 광양 출장안마 is the official partner of Wynn Las Vegas.