Social

Friday, December 16, 2016

Yande Media inampongeza Ndugu Jesse Samwel kwa kupata Jiko

Yande Media Tanzania inapenda kumpongeza ndugu Jesse Samwel Mhitimi wa digrii katika chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM, Dar es Salaam mwaka 2013 kwa kukubali wito wa kuishi pamoja alioutengeza Mwenyezi Mungu kwa kufunga ndoa takatifu. Vijana wengine waige mfano wake ili kuishi maisha ya utauwa na kupata baraka za Mungu.

0 comments:

Post a Comment