Friday, December 16, 2016
Yande Media inampongeza Ndugu Jesse Samwel kwa kupata Jiko
3:03 PM
No comments
Yande Media Tanzania inapenda kumpongeza ndugu Jesse Samwel Mhitimi wa digrii katika chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM, Dar es Salaam mwaka 2013 kwa kukubali wito wa kuishi pamoja alioutengeza Mwenyezi Mungu kwa kufunga ndoa takatifu. Vijana wengine waige mfano wake ili kuishi maisha ya utauwa na kupata baraka za Mungu.Tuesday, December 13, 2016
Friday, December 9, 2016
Thursday, December 8, 2016
Wednesday, December 7, 2016
Kutana na ChadyBlack, Model anayewatoa jasho Calisa na wengine
1:58 PM
No comments
Yande Media inakuletea #CHADYBLACK Model anayekuja kwa kasi sana Tanzania wasiliana nasi groupyande@gmail.com or call +255769344276
https://youtu.be/Gkib7kUct3M
Subscribe to:
Comments (Atom)













